.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Juni 2015

MAHAKAMA KASKAZINI MWA NIGERIA IMEMUONDOLEA MASHTAKA MSICHANA WA MIAKA 14

Mahakama kaskazini mwa Nigeria imemuondolea mashtaka msichana wa miaka 14 anayetuhumiwa kutumia sumu ya panya kumuua mumewe mwenye umri wa miaka 35.

Serikali ya jimbo la Kano, imeomba kesi hiyo kufutwa kutokana binti huyo ni mtoto ambaye alilazimishwa kuolewa katika umri mdogo.

Mtoto huyo wa kike sasa ataachiwa huru kufuatia uamuzi huo wa mahakama.
Kesi yake iliporipotiwa mwaka 2014 iliibua angalizo juu ya tatizo la watoto wanaolazimishwa kuolewa nchini Nigeria.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni