.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatano, 10 Juni 2015
MASHINDANO YA LUCY OWENYA CUP YAMALIZIKA,TIMU YA KIBOSHO KINDI YAIBUKA MABINGWA.
Mbunge wa viti maalumu Lucy Owenya (Chadema) akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kibosho Kilima kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali katika mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015.
Mratibu a mashindano hayo Charles Mchau akisalimiana na wachezaji.
Mgeni rasmi katika fainali hiz katibu wa Chadema kanda ya kaskazini Aman Golugwa akisalimiana na wachezaji.
Mbunge Lucy Oweya akiwa ameambatana na mgeni rasmi Aman Golugwa mara baada a kukagua timu hizo.
Mgeni rasmi katika mashindano ya Lucy Owenya Cup yaliyoshirikisha timu za jimbo la Moshi vijijini,Aman Glogwa akizungumza na timu zilizoingia fainali za Kibosho Kindi na Kibosho Kilima.
Manahodha wa timu hizo mbili wakipeana mikono kusalimiana.
Timu ya Kibosho Kindi wakiomba Dua.
Timu ya Kibosho Kilima wakiomba Dua.
Waamuzi wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu hizo mbili
Timu ya Kibosho Kindi katika picha ya pamoja.
Timu ya Kibosho Kilima katika picha ya pamoja.
Baadhi ya mashabiki waliohudhulia mchezo huo.
Meza kuu wakifurahi mara baada ya mwamuzi kupuliza kipyenga cha mwisho ambapo timu ya Kibosho Kindi iliibuka na ushindi wa bao 3 kwa 1.
Mashabiki wa timu ya soka ya Kibosho Kindi wakifurahia ushindi huo.
Mdhamini wa mashindano hayo Lucy Owenya akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mashindabo hayo na bingwa kupatikana.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni