Bondia Floyd Mayweather Junior
ameanika vito vyake vyenye thamani kubwa, aliposhiriki kucheza mpira
wa kikapu kwa mastaa katika tamasha la muungano wa N.W.A Jijini Los
Angeles.
Bondia huyo mashuhuri duniania ana
fedha za kutosha zinazomuwezesha kufanya matanuzi ya aina yake, na
hakuona uoga wa kuionyesha dunia vito vyake hivyo vya tamani.
Bondia Mayweather hivi karibuni
alitajwa kuwa ni mwanamichezo anayelipwa fedha nyingi duniani kwa
mujibu wa jarida la Forbes, baada ya kulipwa dola milioni 300 ndani
ya miezi 12.
Mwanamuziki Chris Brown akijaribu kufunga kikapu
Rapa Snoop Dogg akipongezana na Mayweather
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni