Maafisa wa Marekani wamesema mfungwa
wa pili ambaye alitoroka gerezani katika jimbo la New York, David
Sweat anashikiliwa na polisi baada ya kupigwa risasi.
Mfungwa huyo wa mauaji, alipigwa
risasi mara mbili na kukamatwa katika umbali usiozidi kilomita 3,
kutoka kwenye mpaka wa Canada.
Mfungwa menzake Richard Matt, 49,
aliyetoroka nae aliuwawa na polisi Ijumaa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni