Meli ya kijeshi la Ulaya inayofanya
ulinzi katika Pwani imeokoa chombo cha baharini kilichokuwa na
wahamiaji 2,000 katika eneo la Pwani ya Libya.
Kituo cha Wahamiaji cha Malta eneo
la Pwani, kimesema operesheni hiyo imefanywa kwa ushirikiano na meli
za mataifa ya Italia, Ireland na Ujerumani.
Walinzi wa Pwani ya Italia
hawakuthibitisha idadi ya wahamiaji, lakini kimesema kinajaribu
kusaidia boti zingine zipatazo 12 zenye wahamiaji haramu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni