Mbunge
wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na mmoja wa
watoto waliofika kumpokea wakati akifanya mkutano wa hadhara katika kata
ya Maruanga kuhamasisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu
la wapiga kura.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na
wananchi katika kata ya Maruanga.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya
Kaskazini.








Hakuna maoni :
Chapisha Maoni