.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 18 Juni 2015

NCHI YA CHAD IMEPIGA MARUFUKU WATU KUVAA VAZI LA KUFUNIKA SURA YOTE

Nchi ya Chad imepiga marufuku watu kuvaa vazi la kufunika sura yote, kufuatia matukio mawili ya mabomu ya kujitoa mhanga yaliyotokea siku ya jumatatu.

Serikali ya Chad inalituhumu kundi la wapiganaji wa Boko Haram kwa kuhusika na milipuko hiyo ambayo imeuwa zaidi ya watu 20.

Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema vazi la kufunika sura yote lilitumika kujifichia wapiganaji wa kundi hilo na kusema maafisa usalama watachomamoto mavazi ya kufunika sura yote.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni