Nchi ya Ugiriki imewasilisha mbadala
wa mpango kwa Umoja wa Ulaya (EU) na Shirika la Fedha la Kimataifa
(IMF).
Hatua hiyo imekuja baada ya Waziri
Mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras kukataa kufanya mabadiliko
yaliyopendekezwa na rais wa tume ya Umoja wa Ulaya Jean Claude
Juncker.
Umoja wa Ulaya na IMF zilitaka
mabadiliko ya uchumi kabla ya kutoa fedha za kuikomboa kiuchumi
Ugiriki kwa kiasi cha paundi bilioni 5.3.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni