NDEGE ya kampuni ya Al-salaam, ikiwa kwenye majani nje kidogo ya njia ya kurukia, baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Pemba, ikiwa na abiria 12, baada ya kukumbwa na hitilafu ya mashine ikiwa imesharuka juu mita 500, (Picha na Haji Nassor, Pemba ) Kwa hisani ya ZanziNews
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni