Mahakama ya Kuu ya Pretoria imesema
rais wa Sudan Omar al Bashir atapaswa kukaa Afrika Kusini hadi
itakapotoa uamuzi wake hii leo iwapo akabidhiwe katika Mahakama ya
Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Mahakama hiyo imetoa amri ya muda ya
kumzuia rais al Bashir ambaye yupo Jijini Johannesburg nchini Afrika
Kusini, kuhudhuria mkutano wa Umoja wa Afrika (AU). Bashir
anatuhumiwa kwa makosa ya uhalifu wakivita, maujaji ya kimbari katika
machafuko ya Darfur.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni