.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Juni 2015

SERIKALI KENYA YAZUIA WANAFUNZI WAKIGENI KUSOMA KAUNTI YA MANDERA

Serikali ya Kenya imezuia udahili wa wanafunzi wa kigeni kwenda kusoma katika kaunti ya Mandera ambayo imekuwa haina usalama, kutokana na mashambuzili ya al-Shabaab.

Wizara ya Elimu ametoa tangazo hilo leo linalosema kuwa serikali haita dahili wanafunzi kutoka nchi jirani ya Somalia iliyokwenye machafuko ama wanafunzi kutoka kaunti nyingine za Kenya.

Akiongea na vyombo vya habari hii leo, Mkurugenzi wa Elimu katika kaunti ya Mandera Ismael Barrow amesema marufuku hiyo imetolewa na makao makuu ya wizara.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni