Serikali ya Rwanda imelielezea tukio
la kukamatwa mkuu wa usalama wa nchi hiyo Jenerali Karenzi Karake
kuwa ni la kuchukiza mno.
Jenerali Karake, alikamatwa Jijini
London kwenye uwanja wa ndege wa Heathrow siku ya jumamosi,
akituhumiwa kuhusika na mauaji ya Kkimbari ya mwaka 1994.
Mkuu huyo wa usalama alikamatwa na
maafisa wa polisi wa kufuatia kibali cha kukamatwa kilichotolewa na
taifa la Hispania.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni