.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 13 Juni 2015

UMEME WA UHAKIKA WAFUNGWA KATIKA KIWANJA CHA TIBIRINZI KISIWANI PEMBA

Fundi mkuu wa Kampuni ya Umeme ya Molel kutoka Dar-es-Salaam , akionesha ugawaji wa umeme utakaofanyika ndani ya kiwanja cha watoto Pemba.
Mafundi wa Umeme wakiunganisha Umeme kutoka kwenye mashine za kuendeshea mashine Kiwanjani Tibirinzi kwenda kwenye Transfoma.
Fundi mkuu wa umeme kutoka Kampuni ya Malel ya Dar -es-Salaam, anaeunganisha Umeme katika kiwanja cha Watoto Tibirinzi akitowa maelezo kwa mwanadishi wa Habari huko Pemba.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni