.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 12 Juni 2015

WATALII WANNE WAFUNGWA JELA SIKU TATU KWA KUVUA NGUO KATIKA MLIMA KINABALU

Watalii wanne waliovua nguo na kupiga picha wakiwa juu ya mlima mtakatifu nchini Malaysia wamepatiwa kifungo cha jela cha siku tatu pamoja na faini.

Watalii hao Muingereza Eleanor Hawkins, raia wa Canada Lindsey na Danielle Peterson pamoja na Mholanzi Dylan Snel wametiwa hatiani kwa kusababisha kero kwa umma.

Kundi hilo la watalii linatuhumiwa kuwa kitendo chao hicho ndicho kilichosababisha kutokea kwa tetemeko la ardhi, baada ya kupiga picha na nguo za ndani juu ya Mlima Kinabalu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni