Watafiti wa masuala
ya saikolojia wamebaini kuwa watoto wenye kumbukumbu nzuri huwa na
uwezo mzuri wa kudanganya.
Utafiti huo
ulihusisha watoto wenye umri wa miaka sita na saba kwa kucheza
mchezo wa trivia, ambapo waliruhusiwa kudanganya kwa matendo yao.
Matokeo yake watoto
ambao ni wadanganyifu wazuri walifanya vyema katika mtihani wa
kuongea kwa kukumbuka idadi ya maneno.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni