Nchi za Zimbabwe imeamua kuondoa
kabisa katika mzunguko fedha ya nchi hiyo, ili kutumia fedha za
kigeni tu, mfumo ambao ulianza kutumika tangu kukumbwa na mfumuko wa
bei usio wa kawaida.
Zimbabwe ilikumbwa na mfumuko mkubwa
wa bei miaka sita iliyopita, na kulazimika kuanza kutumia fedha za
kigeni kama dola ya Marekani pamoja na randi ya Afrika Kusini.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni