Jumatano, 1 Julai 2015
KIKOSI CHA USALAMA WA BARABARANI NCHINI WAPEWA GARI LA MATANGAZO
Balozi wa Japani nchini, Masaharu Yoshida( katikati), akikata utepe kuzindua gari la maalumu litakalotumika na kikosi cha usalama barabarani katika shughuli za uelimishaji, (kushoto) ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani, Naibu kamishina wa Polisi(DCP) Mohamed Mpinga ( kulia )ni Msaidizi wa balozi, Bw Kazioshi.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni