Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhavi fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini DOdoma Juni 30, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizunguza na waandishi wa habari baada ya kurejesha fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini DOdoma Juni 30, 2015.Wapili kulia ni mkewe Tunu na kulia ni mjukuu, michele.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni