.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 31 Julai 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA KENYA NA MSUMBIJI IKULU DAR

01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Chirau Ali Mwakwere, aliyefika Ofisini kwa Makamu wa Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 31, 2015 kwa mazungumzo. Picha na OMR
02
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Chirau Ali Mwakwere, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam , leo Julai 31, 2015. Picha na OMR
unnamed
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania, Dkt. Vicente Veloso baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam , leo Julai 31, 2015, wakati Balozi huyo alipofika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi. Picha na OMR
unnamed (1)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania, Dkt. Vicente Veloso, aliyefika Ofisini kwa Makamu wa Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 31, 2015 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni