Mamilioni ya raia wa Ugiriki
wanapiga kura muhimu ya maoni, iwapo wakubali masharti ya kimataifa
ya kupatiwa fedha za kusaidia uchumi wa taifa hilo.
Zoezi hilo la upigaji kura limeanza
leo majira ya saa moja asubuhi saa za huko na linatarajiwa kuendelea
hadi ifikapo jumapili jioni.
Serikali imekuwa ikipigia kampeni
kura ya hapana, lakini wapinzani wametahadharisha uamuzi huo unaweza
kuipelekea Ugiriki kuondolewa katika ukanda za euro.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni