.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 5 Julai 2015

PAPA FRANCIS ANATARAJIWA KUWASILI ECUADOR KUANZA ZIARA YAKE

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis anatarajiwa kuwasili Ecuador kuanza ziara yake ya siku saba Amerika ya kusini.

Rais wa Ecuador Rafael Correa wa mremgo wa kushoto ameielezea ziara hiyo ya Papa Francis kuwa ni heshima kubwa.

Papa Francis atasafiri kwenda Bolivia na Paraguay, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya pili katika ukanda huo tangu ateuliwe kuliongoza kanisa Katoliki mwaka 2013.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni