Muwania urais wa urais Marekani kwa
chama cha Democratic, Hillary Clinton ameituhumu China kwa
kujihusisha wizi wa siri za kibiashara pamoja na taarifa za serikali
ya Marekani.
Ameituhumu China kwa kujaribu
kufanya udukuzi kwa kila kitu ambacho kinafanyika Marekani na kutoa
wito wa kuchukuliwa tahadhari.
Maafisa wa Marekani wameielezea
China kama mtuhumiwa mkuu wa vitendo vya udukuzi wa taarifa za wakala
wa serikali ya Marekani, kwa mwaka huu.
Hata hivyo China imekuwa ikikanusha
kuhusika na udukuzi, na kuelezea madai ya Marekani kuwa hayana tija.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni