Mkuu wa Idara ya Masoko wa DTB
Tanzania Ndg Sylevester Bahati akitowa maelezo ya hafla hiyo ya
futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. kwa
ajili ya Wateja wa DTB Zanzibar hii ikiwa ni mara ya 6 kwa Benki hiyo
kujumuika na Wateja wao katika futari maalumu.
Mgeni rasmin na viongozi wengini na
wananchi wakipata futari maalumu ilioandaliwa na DTB Tawi la Zanzibar
kwa wateja wao kujumuika pamoja iliofanyika katika viwanja vya hoteli
ya serena shangani Zanzibar.
Wananchi waliohudhuria hafla ya
futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza
Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor
Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika
viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Wananchi waliohudhuria hafla ya
futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar, wakila futari.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni