Rais wa Jamhuri ya muungano wa
Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akimkabidhi tuzo ya
ushindi wa kwanza katika sekta ya habari na mawasiliano Kaimu Ofisa
Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Jotham Lujara.
Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya TTCL
(kulia) akitoa maelezo kwa mteja juu ya huduma mbalimbali
zinazotolewa na kampuni hiyo ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho
ya 39 ya Biashara Kimataifa jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wakipatiwa huduma
ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa
jana jijini Dar es Salaam.
Wafanyakaziwa wa Kampuni ya TTCL
wakifurahia ushindi nje ya banda lao na kupata picha ya pamoja.




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni