Wanandoa waigizaji filamu wa
Hollywood Ben Affleck na Jennifer Garner wamesema wamefanya uamuzi
mgumu wa kutangaza kutalikiana.
Wanandoa hao ambao walioana tangu
mwaka 2005, wana watoto watatu wenye umri wa kuanzia miaka mitatu
hadi tisa.
Katika taarifa yao ya pamoja,
wamesema kuwa wataendelea mbele kwa upendo na urafiki kwa kila moja
wao na wamethamiria kuendelea kuwalea kwa ushirikiano watoto wao.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni