Rais Barack Obama wa Marekani
amemaliza ziara yake ya Afrika na kuonya kuwa bara hili halitoendelea
iwapo viongozi wanakataa kuachia madaraka baada ya mihula yao kuisha.
Akihutubia katika makao makuu ya
Umoja wa Afrika Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia rais Obama amesema
hakunamtu atakuwa rais wa maisha.
Rais Obama amesema hawaelewi
viongozi wanaong'ang'ania kukaa madarakani kwa muda mrefu, hususan
hata baada ya kuchuma fedha nyingi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni