.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 8 Julai 2015

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI DODOMA, KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI NA USALAMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye kiwanja cha Ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete akiimba na wana CCM waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege mkoani Dodoma. (Picha na Adam Mzee)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni