Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya
wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya
kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3,
2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu
Kingalu wa 14.Ijumaa, 3 Julai 2015
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya
wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya
kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3,
2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu
Kingalu wa 14.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni