Rais Yoweri Museveni amesema kuwa
hajutii kupata kipato kidogo cha mshahara kutokana na kuingiza fedha
nyingi kutokana na kilimo.
Wiki iliyopita tathimini ya
Mishahara ya Marais wa Afrika ilionyesha rais Museveni ni miongoni
mwa marais wanaolipwa kidogo barani Afrika.
Amesema ingawa anapata fedha ndogo
kutoka serikalini yeye ni mtu tajiri kutokana na kipato cha
kujishughulisha na kilimo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni