.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 8 Julai 2015

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA EDINBURGH WASAIDIA SEKTA YA MICHEZO

mail.google.comMkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Bibi. Juliana Yassoda (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Edinburgh (Edinburgh Global Partnership) walipmotembelea ofisini kwake leo.Wanafunzia wanasaidia ujenzi wa Viwanjwa viwili vya michezo ya Mipira ya Kikapu,Pete na Wavu vilivyogharimu zaidi ya shilingi milioni 33.Viwanja hivyo vimejengwa katika maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam chini ya usimamizi wa asasi isiyo ya Kiserikali ya Msimamo Youth Educator yenye maskani yake Vingunguti, jijini Dar es Salaam.
Picha na Frank Shija, WHVUM.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni