.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 27 Agosti 2015

BONDIA LULU KAYAGE APAA KWENDA AFRIKA KUSINI NA MATUMAINI YA USHINDI

Bondia Lulu Kayage akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari yake ya Afrika kusini kupigana mpambano mwingine agoust 28. Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mdau wa mchezo wa ngumi nchini Hamissi Berege kushoto akizungumza na George Sabuni ambaye anaambatana na bondia Lulu Kayage ( kulia ) kwenda kwenye mpambano wake mwingine utakaofanyika agousti 28, nchini Afrika Kusini. Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Lulu Kayage akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari yake ya Afrika kusini kupigana mpambano mwingine agoust 28 picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
 

BONDIA wa Kike Lulu Kayage ameenda tena nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya mpambano wake mwingine na bondia mwingine kutoka uko utakaofanyika agost 28 nchini Afrika ya kusini

akiongea kabla ya kupanda ndege bondia huyo alijingamba kuwa ataenda uko na atashinda kwa kuwa yupo fiti zaidi kwa sasa

hivyo nitaendeleza wimbi la ushindi aliongeza kwa kusema anaomba duwa kwa watanzania wamuombee ili aweze kumchakaza msauzi uyo tena kwa K,O mbaya kama alivyo mpiga

mwenzake Lizbeth Sivhag bondia huyo aliyeambatana na bondia mkongwe wa siku nyingi George Sabuni kwa ajili ya kumbumbusha mambo mbalimbali awapo uringoni

amesema kwa sasa watanzania wategemee furaha kutoka kweke kwani mchezo anaocheza ni mgumu sana na yeye amejizatiti kuleta mafanikio kwa taifa nzima la Tanzania

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni