.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Alhamisi, 27 Agosti 2015
MH AMOS MAKALLA AKAGUA MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA VIREFU 20 ENEO LA KIMBIJI NA MPERA
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akimsikiliza meneja mradi uchimbaji visima Gilles Salome.
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akiwa eneo la upimaji wingi wa maji Kimbiji.
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akikagua kisima eneo la Kisarawe 2
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akiongea na Kaimu Mkurugenzi wa Dawasa, mary Ntukula.
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amekagua mradi wa uchimbaji visima virefu 20 eneo la Kimbiji na Mpera vitakavyozalisha maji lita milioni 260 kwa siku ikiwa ni jitihada za serikali za kuongeza kiasi kilichopo sasa cha lita milioni 300 hadi lita milioni 700 ili kukidhi mahitaji ya sasa lita milioni 450
Ameagiza kampuni ya Serengeti kukamilisha uchimbaji wa visima 14 ifikapo Desemba
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni