Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji
(Ewura), Felix Ngamlagosi (wa tatu kushoto) akishiriki kucheza mpira
wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Ewura kufurahi pamoja na familia zao
kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es Salaam.
Wafanyakazi na familia zao waliovaa fulana ya njano wakishangilia baada ya kukabidhiwa kikombe hicho















Hakuna maoni :
Chapisha Maoni