Christian Benteke ameifungia
Liverpool goli lake la kwanza tangu ajiunge nao kwa kitita cha paundi
milioni 30, licha ya goli hilo kutawaliwa na utata katika mchezo wa
jana usiku dhidi ya Bournemouth.
Benteke alifunga goli hilo la pekee
katika mchezo huo kupitia mpira wa krosi kutoka kwa Jordan Henderson
ambao pia ulikuwa ukiwaniwa na Philippe Coutinho ambaye alikuwa
tayari kaotea.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni