Dhehebu
la ajabu ambalo vijana wanakatazwa kuongea hadi hapo watakapooana
limebainishwa katika makala ya televisheni.
Picha
za video ndani ya dhehebu hilo la Gloriavale zimebainisha namna
viongozi wa wazee wa dhehebu 12 ndio ambao huamua kijana yupi amuoe
nani na kwa wakati gani.
Dhehebu
hilo lipo katika kisiwa cha kusini mwa New Zealand, na limekuwa na
usiri wa namna linavyojiendesha, lakini mmoja wa mfuasi wake
aliyetoroka amefichua siri.
Hata kwenye bwawa la kuogelea huoga wakiwa na magauni yao.
Huko uvaaji ni wa vazi linalofanana hakuna kutofautiana sare kama shule.
Hawana mpango kabisa na suala la kufuata uzazi wa mpango ni full kuujaza ulimwengu.




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni