Mwenyekiti wa CCM
Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na KAtibu Mkuu wa CCM Ndg
Abdulrahmana Kinana baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo
ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika
katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma. Picha na Freddy MaroJumatatu, 10 Agosti 2015
JK ATUA MJINI DODOMA LEO KUENDESHA VIKAO VYA CHAMA HA MAPINDUZI
Mwenyekiti wa CCM
Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na KAtibu Mkuu wa CCM Ndg
Abdulrahmana Kinana baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo
ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika
katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma. Picha na Freddy Maro
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni