Jumatatu, 10 Agosti 2015
NI MAFURIKO!! MAMIA YA WAFUASI WA VYAMA VYA SIASA VYA UPINZANI VINAVYOUNDA UKAWA WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MH. LOWASSA KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS, SHUGHULI KATIKATI YA JIJI ZASIMAMA KWA MUDA
Mamia ya wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( UKAWA ) waliojitokeza kumsindikiza mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ), Mh. Edward Lowassa kuchukua fomu ya kuwania urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi ( Nec ) jijini Dar es Salaam leo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni