Mchezo huo ni muhimu kwa Chelsea kuonyesha jinsi walivyopania kulinda heshima yao, baada ya kujikuta wakifungwa na Arsenal bao 1-0 katika mchezo wa Ngao ya Hisani jumapili iliyopita katika uwanja wa Wembley kuashiria mwanzo wa ligi hiyo inayopendwa kila pembe ya dunia.
Mechi nyingine zitakazochezwa leo katika ufunguzi wa ligi hiyo itakuwa kama ifuatavyo:-
Manchester United vs Tottenham
Bournemouth vs Aston Villa
Everton vs Watford
Bournemouth vs Aston Villa
Everton vs Watford
Leicester vs Sunderland
Norwich vs Crystal Palace

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni