Maadhimisho yamefanyika katika mji
wa New Orleans nchini Marekani kuadhimisha miaka 10 tangu kutokea
kimbunga cha Katrina.
Katika kumbukumbu hizo Meya Mitch
Landrieu alikumbushia jinsi wakazi wa mji huo walivyoungana katika
kusaidiana wenyewe.
Kimbunga cha Katrina kiliuwa karibu
watu 2,000 na kuwaacha mamilioni ya watu bila makazi huko New
Orleans.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni