Mabaki ya ndege ya Indonesia
iliyotoweka na watu 54 yameonekana katika eneo la kando la mkoa wa
Papua.
Ndege ya Shirika la Trigana
ilipoteza mawasiliano jana majira ya saa tisa kasoro dakika tano saa
za huko ikitokea Jiji la Jayapura, kwenda mji wa Oksibil.
Waziri wa Usafirishaji wa Indonesia
amesema ndege hiyo imeonekana na wakazi wa maeneo ya miinuko ya
Bintang.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni