Uchumi wa Japan umetetereka katika
robo ya mwaka, na kuchangia kurejesha nyuma sera ya serikali ya
mabadiliko ya uchumi.
Kati ya mwezi Aprili na Juni ukuaji
wa uchumi ulikua kwa asilimia 0.4, ikilinganishwa na miezi mitatu
iliyopita ya mwaka huu.
Kudororo kwa usafirishaji nje bidhaa
kutoka Japan pamoja na kupungua kwa nguvu ya manunuzi vimechangia mno
kuporomoka kwa ukuaji uchumi wa nchi hiyo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni