Makumi kwa maelfu ya watu
wameshiriki katika maandamano ya nchi nzima nchini Brazil
wakishinikiza kuchunguzwa rais wa nchi hiyo, Dilma Rousseff.
Wapiga kura wengi wa taifa hilo
wanamtuhumu rais Rousseff kwa kushindwa kudhibiti rushwa na kwa
kuharibu uchumi wa taifa hilo katika hali mbaya.
Waandamanaji waliandamana kwenye
fukwe ya Copacabana Jijini Rio ambapo pia waandamanaji wengine
walikusanyika kwenye jenngo la Baraza la Congress katika Jiji la Kuu
la nchi hiyo Brasilia.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni