.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Agosti 2015

MAMBO YALIVYOKUWA WAKATI WA FAINALI YA TMT KUTOKA MAKUMBUSHO YA TAIFA

Majaji wa Shindano la TMT wakifuatilia matukio yanayoendelea katika fainali ya shindano la TMT 2015 linaloendelea kufanyika katika ukumbi wa Makumbusho huku ikirushwa live kupitia Live na Kituo cha ITV
 Baadhi ya wahudhuriaji wakifuatilia matukio live
 Jaji Rich akihojiwa kabla zoezi halijaanza
 Mshindi wa TMT msimu wa Kwanza Mwanaafa Mwizago akihojiwa
 Mboto kazini
 Mwakilishi wa Basata
Endelea kukaa hapa kwa picha Zaidi. Kwa hisani ya Lukaza Blog

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni