Mkuu wa mkoa wa Singida, Perseko Kone ( kulia ) akimkaribisha Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos makalla amekagua ujenzi wa mradi wa maji kwa
ajili ya mji Singida kwa kutembelea chanzo cha maji Mwankonko na Irao.
Mradi huo umekamilika kwa asilimia kubwa na umeanza kuhudumia wananchi wa Manispaa ya Singida na umeghamu bilioni 29.
Kukamilika kwa mradi huu kutasaidia kwa kiasi kikubwa kumaliza tatizo la maji kwa wakazi wa singida
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni