Usafiri wenye ukubwa sawa na komputa
ya tableti umebuniwa na mhandisi wa Japan kwa ajili ya matumizi.
Gari hilo la usafiri wa kusimama juu
linauwezi wa kusafiri kwa kasi kilomita 10 kwa saa unaweza kutumiwa
na mtu hadi mwenye kilo 120.
Mbunifu huyo Kuniaki Sato amesema
chombo hicho amekibuni kwa ajili ya kujiburudisha pamoja na kwa ajili
ya biashara.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni