Katibu Mkuu wa Wizara Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt, Donan Mmbando(kulia) akizungumza mara baada ya kutia saini mikataba miwili ya makubaliano ya mfuko wa pamoja wa kuchagia fedha kwa ajili ya kuboresha huduma za afya na katika hafla iiliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Mkataba wa kwanza ni wa Sh. bilioni 531 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwa kipindi cha miaka mitano na wa pili wa Sh. bilioni 80 kwa ajili ya kusaidia bajeti ya mwaka huu wa fedha kwenye sekta hiyo.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za ,Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) , Dkt. Deo Mtasiwa.
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za ,Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) , Dkt. Deo Mutasiwa. akizungumza mara baada ya kutia saini mikataba miwili ya makubaliano ya mfuko wa pamoja wa kuchagia fedha kwa ajili ya kuboresha huduma za afya na katika hafla iiliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Mkataba wa kwanza ni wa Sh. bilioni 531 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwa kipindi cha miaka mitano na wa pili wa Sh. bilioni 80 kwa ajili ya kusaidia bajeti ya mwaka huu wa fedha kwenye sekta hiyo.Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii , Dkt. Donan Mmbando.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Servacius Likwelile(kulia na Kiongozi wa wadau wa maendeleo, ambaye ni Balozi wa Ireland, Fionnuala Gilsenan(kushoto)) wakitia saini mikataba miwili ya makubaliano ya mfuko wa pamoja wa kuchagia fedha kwa ajili ya kuboresha huduma za afya na katika hafla iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Mkataba wa kwanza ni wa Sh. bilioni 531 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwa kipindi cha miaka mitano na wa pili wa Sh. bilioni 80 kwa ajili ya kusaidia bajeti ya mwaka huu wa fedha kwenye sekta hiyo.
Mwakilishi kutoka Benki ya Dunia(WB), Paul Edwards ( katikati) akitia saini mikataba miwili ya makubaliano ya mfuko wa pamoja wa kuchagia fedha kwa ajili ya kuboresha huduma za afya na katika hafla iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Mkataba wa kwanza ni wa Sh. bilioni 531 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwa kipindi cha miaka mitano na wa pili wa Sh. bilioni 80 kwa ajili ya kusaidia bajeti ya mwaka huu wa fedha kwenye sekta hiyo. 
PICHA ZOTE NA MAGRETH KINABO – MAELEZO
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni