Waandishi wakifuatilia mkutano ulioitishwa na Uongozi wa CUF kuzungumzia kujiuzulu kwa Mwenyekiti wao Profesa Lipumba aliofanya leo jijiji ni Dar mbele ya waandishi wa habari.
Wakiwa makini kupata habari hiyo kutoka kwa Kiongozi wa CUF wakati wa mkutano wao. Kwa hisani ya ZanzNews
Ijumaa, 7 Agosti 2015
MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI ( CUF ) NA WAANDISHI WA HABARI MJINI ZANZIBAR
Waandishi wa habari wakiwa nje ya ofisi za Chama Cha Wananchi ( CUF )
Waandishi wakipanda gazi kuhudhuria mkutano ulioitishwa na CUF kuzungumzia kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwenyekiti wao Profesa Ibrahim Lipumba leo jijini Dar. wakiwa katika Afisi za CUF Vuga Zanzibar kuhudhuria mkutano huo ulioitishwa mchana huu.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mawasiliano na Umma Mhe. Ismail Jussa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadhia ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama hicha Profesa Ibrahim Lipumba, aliotangaza leo jijini Dar-es- Salaam kujiuzulu kwake kwa nafasi hiyi na kubaki mwanachama tu wa CUF, mkutano huo umefanyika katika Afisi za CUF Vuga Zanzibar 
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni