.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 7 Agosti 2015

RAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA KAGAME TOKA KWA TI MU YA AZAM FC IKULU DAR ES SALAAM LEO


Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na
mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akikabidhiwa kombe la ubingwa michuano ya Kagame ya CECAFA na nahodha wa mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsikiliza Meneja wa Klabu bingwa wa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015. PICHA NA IKULU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni