.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Agosti 2015

MUINGEREZA MO FARAH AWASHINDA WAKENYA NA KUTWAA MEDALI YA DHAHABU

Mwanariadha Mo Farah amefanikiwa kutwaa taji lake la dunia na kwa kutetea taji lake la mbio za mita 10,000, licha ya kupoteza balansi katika raundi ya mwisho na kutwaa medali ya kwanza ya dhahabu kwa Uingereza katika mbio za Mabingwa Duniani.

Miaka saba iliyopita katika uwanja huo huo wa Jijin Beijing nchini China, Farah aliaondolewa katika michuano ya Olimpiki baada kushindwa kufuzu mbio za mita 5,000.

Hata hivyo katika mbio za mwaka huu, Farah alionyesha kujituma ili kuhakikisha anawashinda wapinzani wake kutoka Kenya Geoffrey Kamworor na Paul Tanui.
                                            Mo Farah akichuana na wakenya Kamoror na Tanui
                                             Mo Farah akisujudu kumshukuru Mungu kwa ushini

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni