.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 4 Agosti 2015

MWANAUME MMOJA WA MOROCCO AFARIKI DUNIA AKIWA NDANI YA SANDUKU

Mwanaume mmoja wa Morocco amekufa kwa kukosa hewa akiwa kwenye sanduku wakati kaka yake akijaribu kumsafirisha kimagendo kwenye buti la gari yake kuelekea Hispania.

Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 27, alikuwa kwenye kivuko kutoka eneo la Afrika ya Kaskazini Melila kuelekea Hispania katika mji wa Almeria.

Kaka wa mwanaume huyo ambaye anamiliki hati ya kusafiri ya Ufaransa amefunguliwa mashtaka ya kuua bila ya kukusudia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni